Saturday, November 15, 2014

Video ya washiriki wa BBA 2014 wakicheza baada ya kupigiwa hizi bongofleva.

Ni dakika 4 za video iliyorekodiwa kutoka kwenye TV kuhakikisha tu kilichofanywa na Mtanzania mwenzetu hakitupiti… ni Dj Tass ambae alituwakilisha Tanzania na kutumia sehemu kubwa ya time yake aliyopewa kupiga muziki, kuupiga muziki wa Tanzania ambapo single alizozigusa ni pamoja na Mwana ya Ali Kiba na single za wengine kama Yamoto Band.
dancing 2

Tazama picha lilivyokua kwenye hii video hapa chini…

No comments: