Saturday, November 1, 2014

VIP: The President’s Daughter ya Ray na Wolper yaingia sokoni

Filamu mpya ya Vincent ‘Ray’ Kigosi VIP: The President’s Daughter imeingia mtaani.
10440902_824568320898317_8632417718916277579_n
Waigizaji wengine walioshiriki kwenye filamu hiyo ni pamoja na Jacqueline Wolper, Gabo na Hamisa Mobeto.

No comments: