Msanii pendwa hapa nchini Tanzania na nchi ambaye ni Heat
maker wa Mdogo mdogo maarufu kwa jina la diamond platnumz amepigwa marufuku na
wasanii wa kizazi kipya mkoani iringa kwa kile kilichozaniwa kuwa diamond hana
msaada wowote kwao wao kama wasanii, Ishue nzima ni msiba
wa mwanamuziki wa
miondoko ya hip hop maarufu kwa jina la Geez mabovu wamekasirishwa na kitendo
cha Diamond kuto kuandika chechote katika account zake za mitandao ya kijamii
wala kutoa tamko lolote kama ameguswa na kifo cha msanii Geez mabovu wakati
katika harakati za kutafuta nafasi ya kutoka kimuziki Diamond alimuomba Geez
mabovu kufanya nae nyimbo ambapo
walifanikiwa kufanya nyimbo ya pamoja ambayo ilikua
inaitwa Jisachi na ndo nyimbo inasemekana ilimfungulia milango ya kufanikiwa
kimuziki msanii Diamond, Licha ya Diamond kupata mualiko wa kufanya show mkoani
Iringa baadhi ya wasanii mkoani hapo wamepanga kuaribu kwa makusudi show ya
Diamond amboyo imeandaliwa na kituo cha redio cha Ebony fm kilichopo mkoani
hapo iringa, moja kati ya wasanii wenye njama ya kutaka kumualibia Diamond
anaitwa Najo mkali ameandika katika ukurasa wake wa facebook yafuatayo.
No comments:
Post a Comment