Kupitia ukurasa wa Instagram, staa Jose Chameleone ameandika hivi pamoja na kuweka picha ya Idris; “… Let’s VOTE for IDRIS Tanzania. The Victory Belongs to East Africa!!!! Let’s VOTE #BBA HOTSHOTS Legoooo…“– @jchameleone
Tuesday, December 2, 2014
Post ya Instagram ya @jchameleone kuhusu Idris, mwakilishi wa Tz ndani ya Big Brother Africa
Love ya nguvu ambayo ipo kwa watu wa East Africa inaendelea
kujidhihirisha ambapo siku ya leo staa wa Muziki kutoka Uganda, Jose
Chameleone amekuwa moja ya mastaa kutoka nje ya Tz ambao wameonyesha
love kubwa kwa kutoa support kwa mshiriki pekee wa Tz aliyebaki ndani ya
Jumba la Big Brother Africa na kufanikiwa kuingia fainali pamoja na washiriki wengine 7 ambapo inafanya jumla ya washiriki walioingia final kuwa wanane tu.


Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment