(Nafasi tano)
za watangazaji wanaozitengenezea media zao mkwanja wa kutosha na
kufanya redio kujulikana zaidi na kuwasogeza wasikilizaji wengi zaidi na
kumshawishi mdau kuweza kutangaza na redio husika.
(Utaratibu)
huu utakua ni kwa kila j5 ya kila wiki na hii idea ni ya kwanza kabisa
katika ulimwengu wa blog hapa Tanzania sio mbaya kama ukiona inafaa na
kuindeleza kwenye chanzo chako Team Djjonamusic blog na Radio imekaa
chini na kuona bora kuanzisha hizi chati.

Nafasi ya Tano imeshikiliwa na Renatus Bizzo kiluvia ambaye ni mtangazaji wa Redio free Africa iliyopo jijini mwanza show inaitwa Showtime New chapter ni kila siku za wiki.
Nafasi ya Nne imeshikiliwa na Millard Ayo ambaye
ni mtangazaji wa Clouds fm iliyopo hapa Dar na show ambayo anaiendesha
inaitwa Amplifaya ni kila siku za wiki namaanisha j3 mpaka ijumaa.

Nafasi ya Tatu ni Show ya Power Breakfast ya Clouds fm ambayo huendeshwa na watangazaji wanne ambao ni PJ,BABRA HASSAN,BONGE na GERALD HANDO show huluka hewani kila siku za wiki.

Nafasi ya Tatu ni Show ya Power Breakfast ya Clouds fm ambayo huendeshwa na watangazaji wanne ambao ni PJ,BABRA HASSAN,BONGE na GERALD HANDO show huluka hewani kila siku za wiki.

Nafasi ya Pili imekamatwa na Dokta joe huyu
jamaa ni mtangazaji wa kituo cha redio cha Ebony fm iliyopo mkoani
Iringa, jamaa anaendesha show inaitwa The splash hii show huluka kuanzia
jumatatu mpaka ijumaa time ni saa saba na robo mpaka kumi kamili.

Na kwa hii wiki ya Nne mfululizo tokea tumezianza hizi chati tena nafasi ya kwanza imeshikiliwa na B12 aka The navigator wote mnafaham uyu jamaa yupo pale Clouds fm show inaitwa XXL time saa saba kamaili mpaka kikumi kamili.

No comments:
Post a Comment