
umepiga video kali, video imepata mapokezi mazuri, lakini sometimes inabidi kuelewa tu kwamba hata hao wanaokaa kuchagua ni binadamu pia,” Izzo ameiambia Bongo5. “Suala la mimi kutokuchaguliwa ama kuwekwa hata kucompete maybe katika watu kumi bora kwamba tupate watu watatu pia nakuwa sipo, lakini kazi zangu ni nzuri na zimepokelewa vizuri mtaani, naona ni mistake tu za hawa watu wanaoenda kufanya machaguo ya mwisho,” ameongeza. Izzo amesema hawezi kukata tamaa na anaamini ipo siku kazi zake zitatuzwa pia. “Kitu ambacho kinaendelea kuja kwangu ni kuendelea kufanya kazi nzuri na kutoa kwaajili ya watu.”
No comments:
Post a Comment