Mapenzi ya Shilole na Nuh Mziwanda yafikia ukingoni.....Shilole amuita Mziwanda Ganda la Ndizi
Ameandika Shilole kupitia ukurasa wake wa Instagrama maneno yaliyoashilia kama mapenzi yao yamekwisha na sio wapenzi tena Soma alichokiandika apo chini.
Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali
shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika'ila sasa kama gari
limewaka'aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na
maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi
No comments:
Post a Comment