Msanii wa Bongo Flava Chege Chigunda amewasili
nchini Afrika Kusini kwaajili ya maandalizi ya video yake mpya ya wimbo
‘Sweety Sweety’ aliyowashirikisha Runtown pamoja na Uhuru. Akizungumza
na
Djjonamusic blog akiwa nchini Afrika Kusini, Chege alisema kila kitu kinaenda
sawa na muongozaji Justin campos kutoka kwa Gorilla Films ndio ataongoza
video hiyo. “Ndio tupo kwenye maandalizi ya video niliyomshirikisha,
Runtown na Uhuru,” Chege ameiambia Djjonamusic blog
No comments:
Post a Comment