Staa wa R&B, Chris brown na mzazi mwenzie Nia Guzman wameweka tofauti zao pembeni ili kumlea mtoto wao Royality.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, wawili wameamua kumlea mtoto wao mwenye
umri wa mwaka mmoja kama familia moja ikiwa ni pamoja na kumpeleka
shule, kwenye michezo, kuogelea na mambo mbali mbali.
Miezi michache iliyopita wawili hao walifikishana mahakamani kuhusiana na masuala ya malezi ya mtoto wao.
No comments:
Post a Comment