Akifanya mahojiano na kipindi cha ‘Skee’s talk show’ The Game amesema aliamua kupunguza nyimbo hadi 38 baada ya kumsikilizisha Dr.dre nyimbo 20 lakini akazipondea zote.

Album ya The Documentary 2 inatoka kwa mfumo wa Disc one na two ambao disc 1 yenye track 18
imetoka tarehe 9 October mwaka huu na Disc 2 itatoka tarehe 16 mwezi October, Album hii imeshirikisha wasanii wakubwa ikiwemo Dr. Dre, Ice Cube, Q-Tip, Diddy, Nas, Busta Rhymes,Snoop Dogg, E-40, Scarface, DJ Quik, will.i.am, Kanye West, Lil Wayne, Kendrick Lamar, Schoolboy Q, Ab-Soul, Jay Rock, Drake, DeJ Loaf, Future, YG, Problem, Ty Dolla $ign and Jelly Roll na wengine.
No comments:
Post a Comment