Wednesday, November 25, 2015

Chege kuitambulisha video ya wimbo aliofanya na Runtown, Nigeria na Afrika kusini

Video ya wimbo wa chege aliomshirikisha msanii wa Nigeria, Runtown itatambulishwa kwenye vituo vya runinga vya Nigeria na Afrika kusini.
Chege yupo south kwa ajili ya ile kazi na runtown” meneja wa TMK, Said Fella ameiambia Bongo5.
Hapa nyumbanii tatambulishwat tarehe 4 lakini hivi karibuni chege ataanza kuitambulisha south Africa na Nigeria” Aliongeza Fella

No comments: