Sunday, November 15, 2015

New Music: Wizkid – Final (Baba Nla)

 Wizkid-Final-Baba-Nla-
Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa ‘Ojuelegba’ Wizkid ameachia wimbo mpya, unaitwa Final (Baba NIa), aliahidi kuwa ataachia baadhi ya nyimbo japo amesogeza mbele tarehe ya kuachia album yake mpya.

No comments: