Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa home Tz ambaye anatambulika kwajina la Mr.Mellod ‘Figisu Fugisu’ ft. Chibby Dayo. Track produced by Mo Fire
Tumia dakika zako kadhaa kuisikiliza hii track hapa ukimaliza tunakuomba usibanduke kwenye tovuti yetu kwani bado tunaendelea kukujuza zaidi.
No comments:
Post a Comment