Shilole Ana ‘stress’ Za Kuachana Na Mpenzi Wake? Na Je Ameshamnasa Mpya ? Kayajibu Yote >>>>
Mwaka 2016 umeanza huku kukiwa na stori
kubwa ya mastaa wawili wa muziki waliokuwa na uhusiano wa kimapenzi,
SHILOLE na NUH MZIWANDA kutengana na kila mmoja kuendelea na maisha
yake.

SOUDY BROWN akamcheki Shishi kujua nini kinaendelea kwa sasa kwa
upande wake.. SHISHI kasema kama akiwa tayari kumuweka hadharani mpenzi
wake mpya basi kila mtu atamjua lakini story za yeye kuwa na uhusiano
kwa sasa na watu wengine hazina ukweli wowote. SHISHI amesema kwa sasa
ni yeye na kazi hana tena mawazo ya Mpenzi.
No comments:
Post a Comment