Jackie Cliff aandika barua ya wazi kwa watanzania, amzungumzia jux na ukweli kuhusiana na kifungo chake
Jackie Cliff alikamatwa kwenye uwanja wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la
kujaribu kuingiza dawa za kulevya miaka miwili iliyopita, Isikilize hapo juu ikisoma na MillardAyo.
Video vixen, Jackie Cliff ameandika barua ya wazi kwa watanzania.
No comments:
Post a Comment