Kanye West amejibu swali lililo kosa jibu kwa muda mrefu, iwapo staa wa muziki wa Afrika D’banj bado yupo chini ya label ya G.O.O.D Music au la.
Tangu asaini mkataba na label hiyo miaka mitano iliyopita, D’banj alionekana akiwa karibu na wasanii wa label hiyo kwa siku za mwanzo tu lakini baadae akawa kimya huku akiendelea kutoa kazi zake kimpango wake, iliyopelekea kuibuka kwa swali lililokosa jibu kwa muda mrefu, iwapo bado yupo chini
ya label hiyo au la.
Kanye west ametoa orodha ya majina ya wasanii waliopo chini ya label hiyo and Yes, D’banj bado ni member wa G.O.O.D Music.
No comments:
Post a Comment