CEO wa EFM, Majay amepokea mabusu yakutosha kutoka kwa mpenzi wake Elizabeth Micheal ‘Lulu’ katika tafrija ya sherehe ya siku yake ya
kuzaliwa. Malkia huyo wa filamu Ijumaa hii alimwandikia ujumbe mzuri wa kumtakia heri ya mafanikio huku ndani kukiwa na ujumbe ‘I think sisi ni perfect combo’.
No comments:
Post a Comment