Friday, October 14, 2016

Michael Jackson aongoza orodha ya Forbes ya mastaa waliofariki walioingiza mkwanja mrefu 2016

Forbes wameachia orodha mpya ya mastaa waliofariki wanaoendelea kuingiza mkwanja mrefu zaidi.


Mfalme wa Pop marehem Michael Jackson ameongoza orodha hiyo akiwa na dola Million 885.


Kwa mujibu wa Forbes, sababu ya kupata mkwanja mrefu zaidi ni  kwa sababu ya uamuzi wa kuuza  nusu-sehemu ya Beatles catalog kwa Sony kwa $ 750m.
Wengine ni,
Charles Schulz – $48m
Arnold Palmer – $40m




Elvis Presley – $27m





Prince – $25m





Bob Marley -$21m





Theodor ‘Dr. Seuss’ Geisel – $20m





John Lennon – $12m





Albert Einstein – $11.5m





David Bowie – $10.5m

No comments: