Tarehe 11 oktoba siku ya maazimisho ya siku ya msichana duniani jarida la Marekani, Glamour lilifanya majadiliano maalum yaliyopewa jina ‘Brighter Future: Global Conversation on Girls’
Education’ ambapo first lady wa nchi hiyo, Michelle Obama alizungumza na wasichana duniani kote kuhusiana na umuhimu wa elimu kwa mtoto wa kike.
Kwa Tanzania Vanessa mdee na wasichana wengine 25 walijumuika kwenye majadiliano hayo huku Msichana aitwaye Nasra Abdallah alipata nafasi ya kumuuliza swali Michelle Obama.
No comments:
Post a Comment