Thursday, October 13, 2016

Video ya wimbo wa Davido aliyomshirikisha staa wa Marekani kutoka Ijumaa hii

Hatimaye mambo ya Davido yamerudi tena kwenye mstari, baada ya kuachia Gbagbe oshi sasa anakuja na ‘How long’

Staa huyo ambaye yupo chini ya Sony Music ametangaza kuwa ataachia video ya wimbo wake aliomshirikisha Tinashe Ijumaa hii.

Nyimbo hizi zote zitakuwa kwenye EP yake mpya ‘Son of Mercy’ inayotoka hivi karibuni.

No comments: