Kampeni ya Amka Kijana ya Bongo Movie yaacha historia Iringa (Video)
Tamasha la Amka Vijana la wasanii wa filamu nchini limefanikiwa kwa
kiasi kikubwa baada ya kuhudhuriwa na watu wengi mkoani humo. Msanii wa
muziki wa singeli, Dulla Makabila alikuwa
mmoja kati ya wasanii
waliofanya vizuri hali iliyomfanya DC wa Iringa, Richard Kasesela
kuinuka na kuanza kuonyesha uwezo wake wakucheza singeli.
No comments:
Post a Comment