Tuesday, February 18, 2020

BREAKING: Pigo kwa Mbowe, Mashinji apokelewa CCM


Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Vincent Mashinji amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumanne Februari 18, 2020. Dk Mashinji amepokewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole.

No comments: