Gift Mwanuke Ambaye Alipata Ulemavu wa Miguu Katika Umri Wake Mdogo Kabisa, Amekataa Kuwa Tegemezi wa Kifikra Licha ya Changamoto Yake ya Ulemavu, Gift Anamudu Kuendesha Maisha Yake, Mke Wake na Watoto Wawili Kupitia Ujasiriamali wa Kuongeza Thamani Karanga, Ubuyu na Daftari.
Gift Mzaliwa wa Wilaya ya Mufindi Katika Mkoa wa Iringa Kutokana na Ulemavu Wake Alishindwa Kusoma Katika Mfumo Rasmi wa Elimu Lakini Hiyo Haikuwa Mwisho wa Elimu Yake, Mwaka 2015 Alianza Masomo ya Stadi Katika Kituo cha Neema Graft cha Mjini Iringa na Kusomea Ushonaji wa Nguo.
Bwana Mwanuke Anasema Ulemavu Waijahi na Haitakuwa Changamoto Kwake Kiasi cha Kukaa
Barabarani na Kuomba Msaada, Sababu Zipo Fursa na Njia Mbalimbali Zinazoweza Kumfanya Aendelea Kuendesha Maisha ya Familia Yake.
Nukuu Yake ni Kuwa "ULEMAVU SIO VIUNGO NI FIKRA"
No comments:
Post a Comment