Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo MakoStamina hivi karibuni akiwa katika Interviews na Bongo5TV alionyesha sana kumkubali Diamond Platnumz na kudai kwamba ni msanii mwenye mbinu nyingi za kufanya vizuri kimuziki. “Wasanii wengi wanafeli kwa kumuiga Diamond, huyu jamaa ana mbinu nyingi za kufanya muziki wake kubwa mkubwa, sasa jichanganye akupoteze” alisema Z Anto kupitia mahojiano hayo.
Sasa siku ya jana baada ya kuachia ujumbe huu “2020 #newstar Wasanii wakali wote wana majina ya wanyama #Chui #Simba mwaka huu cjui ntabatizwa jina gan.” watu wengi wamekuwa na maoni tofauti.
Maoni ya mashabiki hao.
Mdathiruahmada3:
Sema Nn We Jamaa, Nakuelewaga Sana yan, Nakukubal kinoma noma ujue🤙
Sema Nn We Jamaa, Nakuelewaga Sana yan, Nakukubal kinoma noma ujue🤙
Aishwaryofficial:
Kwan na ww ni msanii mkali?
Kwan na ww ni msanii mkali?
Officialmudybest:
Me ningependekeza uitwe #CHATU mana uyo nyoka nikiumbe hatari sana aswa akiwa mawindoni
Me ningependekeza uitwe #CHATU mana uyo nyoka nikiumbe hatari sana aswa akiwa mawindoni
Angeltheflorist:
😂😂😂😂😂😂 jamani Binti kiziwi wako yupoooo ???ule wimbo ebu ufanyie remix ni mzuri sana sanaaaaaaa
😂😂😂😂😂😂 jamani Binti kiziwi wako yupoooo ???ule wimbo ebu ufanyie remix ni mzuri sana sanaaaaaaa
No comments:
Post a Comment