Friday, September 7, 2012

anayedaiwa kumlipua mwangosi mbaloni


ASKARI watano wa Jeshi la Polisi akiwamo anayetuhumiwa kumlipua kwa bomu Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, marehemu Daud Mwangosi wamekamatwa na wanaendelea kuhojiwa na jeshi hilo mkoani Iringa.

13.jpgposted by deejay jona

No comments: