Tuesday, September 4, 2012

MDOGO WAKE DIAMOND AFUATA NYAYO zA KAKA YAKE

mdogo wake diamond amefanya mahojiano na mwanahabar wetu na kueleza kuwa kwa sasa na yeye yupo njiani kutoa nyimbo yake itakayomfanya aonekane katika jamii kupitia njia ya mziki wa bongo flava kama kaka yake

1 comment: