Loveness aka Diva wa Clouds FM juzi aliandika barua yake ya mwezi kwenye website yake na kudai kuwa hanaga urafiki na wasichana wenzie.
Isome hapa ujue kwanini:
Nimeona niandike hii kwanza labda itasaidia sana mambo
ya wasichana kutaka sana urafiki na mimi.
Guys me sipendi urafiki kabisa na watoto wa kike , had a
friend once ilini cost sana nilipotofautiana naye na because nilimuamini sana
niliumia , that was high school , then from there on sitaki sana marafiki
kusema za ukweli....sio mtu wa marafiki wala mtu wa mazoea ya ovyoovyo na wala
siringi but sipendi tu najua matatizo yake hasa kwa watoto wa kike!!
I
always miss my high school friends, they were dope
yaani compared na ambao nakutana nao hivi karibuni , na kuhusu kuchagua
marafiki nachagua sana wa kiume, this is not a joke but napatana sana na
Soudy Brown gossipcpotz ,licha ya kunishauri alot about life but ni
mpole , mstaarabu
sana na ana imani ya dini kama mimi , so tunapatana sana na nadiriki
kusema
thats my best friend , he actually knows good and bad , knows if am not
ok and
when am ok!! na apart from kuwa my manager but he is good hearted , my
mentor
pia.
Tunapatana sana that's why hata tulipoenda Tanga he was
the only person niliempeleka home akamsalimie my aunt and it was awesome and
good sana. he such a friend like i never had.
Girls got issues
sana ambazo to me siwezi kabisa kukaa na hizo issues zao ,wengi wanapenda umbea
,kuongea vitu visivyowahusu, kusingizia mambo ya ajabu coz me yaani nina attitude basi i have to stay away kabisa sehemu penye wasichana hasa ambao wana
tabia za kike ,ambao masaa24 wanazungumzia wanaume na jinsi ya kuwachuna ,
wanaokaa kusema wenzao coz ikno na mimi nikitoka watanisema asa mi nikae nao
wanini si bora nikae na simu yangu busy na twitter.
Nahisi mind za wanaume ziko active compared na wasichana
wengi wa mjini
kiukweli sihitaji marafiki................nahitaji
marafiki wachache tena wa kiume wataoniambia which is good , which is bad. Am proud kujuana na Soudy Brown,B12,Baba Johny,Dommy,Faraja,Venture, Peter Mo and the rest
feel safe around hawa my brothers.
God is good ..................kuwa my fan , be that and
pliz endelea kuwa hivyo na will make u happy in my show but nje ya hapo , my
life is different , very strictly and ku avoid that am always at home after
work and sina rafiki celebrity wa kike sina kabisa ukweli ndo huo.
And am totally avoiding girls sio wote lakini wenye
drama wachache wa kike ninaojuana nao wa kike wananitosha LOL
MONTHLY LETTER TO MY FANS
THANK U
Yours,
Lovely Diva.
No comments:
Post a Comment