Hivi karibuni tuliweka picha ya aibu inayomwonesha mrembo mmoja akiwa
na Jose Chameleone wa Uganda kwenye pozi la zero distance.
Picha hiyo inamwonesha msichana huyo akiwa hajavaa nguo ya
ndani huku nguo ya juu aliyokuwa amevaa kuishia chini ya kiono na hivyo makalio
yake kuonekana nje.
Picha hiyo imezua mjadala mkubwa nchini humo kwa jinsi dada huyo
alivyotia aibu.
Well, msichana huyo ni supastaa nchini Uganda. Ni model
mwenye miaka 22 aitwaye Doreen Kabareebe.
Aliwahi kushiriki shindano la Miss Uganda 2010, Miss
Inter-Universities na Miss Central University ambako alishinda taji kutoka Nkumba
University.
Ni mwanafunzi wa Public Administration katika chuo kikuu cha
Nkumba mjini Entebbe.
No comments:
Post a Comment