Wednesday, September 12, 2012

Hot stories, news & gossips (Ebony FM) segment ya leo sept 12.........posted by deejay jona

Headlines...

* Mos Def azungumzia kubadili jina...na mikato yake ya sasa..unajua anaitwa nani saiv..??sikiliza hapa chini..

* Zawadi leo Sept 12 toka G.O.O.D Music kwa fans wao wote...

* Tarajia "mizigo" hii kitaa muda si mrefu...yumo Nicki Minaj, Game, Dj Drama, Ne-yo, Prodigy, Lupe Fiasco na wengine kibao

No comments: