Leo Jokate ambaye ni mwanamitindo, msanii wa kuimba na kuigiza na
mtangazaji pia alikuwepo katika studio za East Africa Radio katika
kipndi cha Supamix na Powerjams ambakop alieleza sababu za yeye
kujitolea na kuwa balozi wa kuchangisha fedha kwaajili ya Ujenzi wa
Hosteli za wasichana katika shule za Sekondary za kata
Jokate akiwa na msemaji wa TEA Mr Lusajo leo katika kipindi cha Supamix.
Jokate aka Kidoti.
Mchango unaweza kuwa fedha taslimu au vifaa kama vifaa vya ujenzi, samani na vitu vinginevyo kwaajili ya hosteli.Michango ya fedha unaweza kuchangia kwa kutuma fedha katika akaunti ya Mfuko iliyopo benki ya CRDB 01J1027639900 "Mfuko wa Elimu".Au M Pesa akaunti number 4040404 au short code Changia Tofali 15564 Unaweza pia kuwasilisha katika ofisi za mamlaka ya Elimu Mikocheni.

No comments:
Post a Comment