Jana
mida ya Jioni nikiwa nimechill zangu maeneo, simu yangu ilikua mbali
kidogo naicharge, nilipoenda kuicheki nikakuta missed call za ku mwaga,
moja wapo ni ya Ticha wangu (jina kapuni) ikabidi nimpigie lakini huku
nikiwa najua itakua ni kuwishiana Cku kuu hii ya pasaka, lakini baada ya
salamu tu, ticha akasema niko huku ......(Mkoa flani), lakini
kinachozungumzwa juu ya Kifo cha Kanumba, "raia wanasema jamaa ameuwawa
na Freemason"...nikaguna mh...ehee
tukaendelea kupiga story then tukaagana.
Ndipo nikaanza kutafakari sasa juu ya madai hayo...
Coz Kabla na baada ya Kifo cha Steven Kanumba, Mwigizaji mahiri wa bongo movie na Star namba moja katika tasnia hiyo, kulikua na Rumors kwamba mchizi Eti ni mfuasi wa dini ya freemason, na ndio uvumi ambao upo mtaani kwamba Eti "Freemason wameamua kumchukua baada ya kwenda kinyume na masharti flani flani, design kama amesaliti chama lililompatia #Kismati cha ku shine kwenye Industry ya Bongo Movie" Je niamini rumors hizi? kwaniiii nani alizianzisha? Na kama ali mess na freemason ni kwanini wakati walishamfanya star? kwani kina free Mason ni kina nani?
Na sasa hivi kitaani baada ya Kifo cha Ze Great wame update taarifa hizi za Ki freemason kwamba tayari kuna m tu eti ndo amekabidhiwa madaraka ya KiFreemason baada ya Kanumba Kumbwela mbwela.. wakati najiuliza hivyo mara kuna jamaa akanitumia picha kadhaa zinazoonyesha alama za mafreemason wanazotumia kwenye mambo yao, ni pozi halafu eti na kanumba naye alikua akizitumia hivyo hivyo, Mimi sisemi Yes OR NO cheki hizo hapo chini then unaweza uka comment

![]() |
Hawa ni viongozi wa mbalimbali wanaodaiwa kuwa ni freemason, na hiyo ni Alama ya Pyramid(inaheshimiwa na sana na Freemason) |
![]() |
The Great naye mh...!! Bonge la Pyramid arif |
![]() |
Haya sasa Collin Powel naye anadaiwa kuwa ni freemason, na hapo kwenye nyekunfndu ndo alama yenyewe |
![]() |
mh.....Ze Great naye alikuwemo? |
No comments:
Post a Comment