
- Nafasi ya 10.....MEDA NATUMAINI
- Nafasi ya 9.....IBRA MBONA UMENUNA
- Nafasi ya 8.....PEACE E SIPO KIIVYO

Nafasi ya 6......ATU WAZAMANI

Nafasi ya 4.......MECKON MAUZA UZA
Nafasi ya 3........BETA MAN SITO KATA TAMAA


88.5 COUNTRY FM TOP TEN NYANDA ZA JUU KUSINI IRINGA

anaitwa nickson sanga aka dj nass ni mtangazaji pia ni mtayarishaji wa hizi chati ambazo huluka moja kwa moja kupitia kituo cha radio cha COUNTRY FM 88.5 iringa tanzania kila siku za jumatano kwenye show iitwayo ngoma za mchana ambayo huanzia mishale ya saa saba na nusu mchana pia jamaa anafanya muziki wa hip hop kafanya truck kibao ikiwemo chap chap ambayo inafanya vizuri kwa sasa kwenye radio na tv kwa kuipata hii truck iitwayo chap chap search google andikaDJ NAS- chap chap utaipata video ya hiyo truck pia audio yake...............posted by deejay jona
No comments:
Post a Comment