Tuesday, October 16, 2012

Diva agwaya kuingia kwenye siasa, aambiwa yatamtokea ya Amina Chifupa....posted by deejay jona


                                                  LOVENES LOVE
Unakumbuka kuna muda mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva alitangaza kuwa mwaka 2015 atagombea ubunge? Well, hakuwa anatania kwani hivi karibuni alianza kwa kuchukua kadi ya uanachama wa CHADEMA na kuandika kwenye website yake, "ts official!. Nimechukua Kadi ya Uanachama ya Chadema. 2015 Mungu akiniweka hai Inshaallah naingia katika Siasa Rasmi!. Thats what I want in life!. So hope gonna get support from my fans !. God Is Good!. In life chochote nipangacho huwa kinakuwa, Lets see. What future holds!. Special thanks to Patrick Bonge!. And my sisters!. Chadema all the wayyy."....posted by deejay jona

No comments: