Tuesday, October 16, 2012

NILICHOKIKUTA KWENYE FACEBOOK YA NASH MC....posted by deejay jona


                                                  NASH MC

CANIBUS ALIAMUA KUACHANA NA MKATABA ALIOKUA NAO UNIVERSAL RECORDS MWAKA 2000 KAMA SIKOSEI BAADA YA KUAMBIWA ABADILI MUZIKI WAKE KIDOGO KWA MAANA YA KUTOA VIBAO AMBAVYO HAVITAKUA NA ILE MISINGI NA ITIKADI ZA HIP HOP HALISI KWA KIASI FULANI,ILI WAUZE,ALICHOSEMA CANIBUS NI KWAMBA WAMUONDOE KWENYE MKATABA NA AENDELEE KUBAKI KULE KWENYE ANDAKI (UNDERGROUND) KWA KUA KUNA UHURU WA KUONGEA UNAYOTAKA NA WALA HAKUNA UTUMWA WA KUFUATA MAUZO WALA SOKO,NA MPAKA LEO CANIBUS YUPO KWENYE SANAA NA AMESIMAMA SIO KITOTOT KWENYE ITIKADI KALI ZA UTAMADUNI!NA WENGI WA WASANII ALIOKUA NAO U.RECORDS BAADHI YAO SIWASIKII NA IL HALI WALIFUATA SOKO,HII NI ELIMU KWA WAEREVU!.....posted by deejay jona

No comments: