

anaitwa
Hili
ni swali ambalo wengi waliumiza vichwa sana..."MTIKISIKO" 2012 "Ndo
Vileeeee...!!!"..kuwa itaanzia wapi na list ipi ya wasanii itadondoka
katika kila pande ambazo MTIKISIKO 2012 itapita....Now tyr imekuwa
confirmed kwa baadhi ya wasani

i kutokea
katika STAGE ya tamasha hilo kubwa kuliko yote KUSINI MWA TANZANIA
..MAKAMBAKO ambako safari hiyo inaanzia..ROMA,.AMINI na LINAH kutoka T.H.T ni
majina ya kwanza yaliyotajwa kutokea kunako stage ya MTIKISIKO 2012
pande za MAKAMBAKO Jumapili Oct 21...mchekeshaji maarufu na mkali wa
vichekesho vya kusimama aka "Stand Up Comedy" anayegonga mzigo katika
kundi la Original Comedy na ambaye pia kwa sasa ni msanii wa kuimba
(perfoming artist) MPOKI aka Mwarabu wa Dubai...pia ametajwa kuonekana
juu ya stage hiyo...haya ni majina ya awali ya wasanii ambayo tyr yako
confirmed kutokea kunako MTIKISIKO 2012..MAKAMBAKO...Stay tuned kwa
majina mengine zaidi na zaidi......MTIKISKO 2012.."Ndo
Vileeeeeeeee.....!!!"

mratibu wa show bab kubwa ya mtikisiko EDWIN BASHIL akijalibu kukwepa kamera ya vunja.blogspot.com lakini mpigaji wa pic alikua fasta zaidi

LINAH SANGA ni moja kati ya wasanii watakaopiga shangwe makambako

No comments:
Post a Comment