Monday, October 15, 2012

HARAKATI ZA MSANII WA HIP HOP MKOANI IRINGA MAN KICHEFU..posted by deejay jona

 
                              MAN KICHEFU

wasanii chipukizi wa kanda ya nyanda za juu kusini ni lini mtaacha kuimba beree? Ni hivi kila siku tumekua tukizipigia kelele media zinazoandaa matamasha kwa kutowalipa wasanii chipukizi lakini leo kwa upande mwingine nigundua kuwa hata wasnii nao pia hawajithamini au kuthamini kazi zao na ndio maana wanafanya show za bila malipo kitu ambacho sio sahihi. Jitambueni na muithamini kazi ya midomo yenu ndipo mtatendewa haki na sio kulaumu tu waandaaji. Kwa upande mwingine waaandaaji nao waache kuwachukulia poa wasanii chipukizi na kuwaweka kwenye kundi la wasanii wengine. Nawataka wajue hakuna msindikizaji kwenye stage bali wote wanafanya perfomance na wanamashabiki wao waliolipa ili kuwaona pia!!! JIPANGENI

No comments: