Saturday, October 6, 2012

LUGHA IMEWAFANYA PRISENTERS WA CLOUDS FM WAMKIMBIE RICK ROSS STUDIO............posted by deejay jona


      rick ross akikaribishwa studio za clouds fm

inafahamika kama leo ndo ile siku ya kuwepo kwa stage ya fiesta  mtu mzima kutoka mayback muzik big boss RICK ROSS ........tarehe 5/10/2012 mida kama ya jioni flani ivi ndo jamaa alitimba bongo dar es salaam alipo tokea julius kambalage international air port rick ross alielekea moja kwa moja pande za mikocheni zilipo studio za the peoples station clouds fm akiwa na wenyeji wake .........mara tuu baada ya kuingia au kukaribishwa katika studio za clouds fm baadhi ya watangazaji waliokuwemo wakiandaa vipindi na wengine walikua hewani wakifanya shoo walianza kutoka mmoja baada ya mwingine bila taarifa haikufahamika mapema ni kitu gani ambacho kilikua kimesababisha kwa watangazaji hao kutoka studio rick ross alikaa takriban nusu saa bila ya kutambuliswa hewani .......kumbe wale baadhii y watangazaji waliokimbia kuogopa kufanya intervew na mtu mzima walikwenda studio namba tatu ambako ndipo radio choice fm wanatangazia na kwenda kumchomoa mtangazaji ambaye alikuwepo kwa muda ule ambaye anaitwa BIG EZ wakati uo mtangazaji huyo wa choice fm alikua anafanya shoo iitwayo choice drive show
                             fatma hassan mara baada ya kukimbi studio na kuja kukaa mapokezi uku akiwa na wasiwasi

                             ujanja wooooooooooooote alionao mshkaji adam mchomvu nae ni kati ya watangazaji waliokimbia studi mara baada y rick ross kuingia studio za clouds fm


        hamisi mandi aka kibao ikiwemo b12 wakati rick ross alipokua anaingia studio jamaa alikua akifanya show xxl crazy friday na kuigiza kama anakwenda kufuata maji koo limemkauka na kutoka nje akasahau kuvua headphone...............posted by deejay jona

1 comment:

barakageorgemlele said...

Hata ungekuwa wewe Jonathani nadhani ungekimbia.