
anaitwa mbishi real kama unamkumbuka huyu jamaa alitamba sana tena sana na
truck yake iitwayo tozi wa mbagala ilifanya vizuri kwenye audio na video....
jamaa ni mzawa wa himaya ya mkwawa iringa ingawa shughuli za kimuziki ndo zimemfanya ....
aishi dar es salaam mshkaji kwa sasa anatamba na truck iitwayo msaraba wa fisadi mengi ameyaongea kwenye hiyo truck yakihusiana na ufisadi kama jina la nyimbo alilo ipa na pia habari ya msingi jamaa kanivutia uzi kanambia video ya hiyo truck iko tayari siku ya jumatatu tarehe 15/10/2012 ndo itaachiwa rasmi kwenye tv stations hapa tz na nje ya tz

huu ni muonekano wa video ya nyimbo iitwayo msaraba wa fisadi amayo audio yake inasumbua vichwa vya wasanii..............posted by deejay jona
No comments:
Post a Comment