TOP TEN COUNT DOWN WITH DJ NASS ON 88.5 COUNTRY FM IRINGA 10/10/2012
NAFASI YA KUMI MPAKA NAFASI YA KWANZA
Nafasi ya 10.....ANGER TINER PENZI KIVULI
Nafasi ya 9.....PEACE E SIPO KIIVYO
Nafasi ya 8.....ATU WAZAMANI
Nafasi ya 7.....MAN KICHEFU HIMAYA YA MKWAWA Nafasi ya 6......MED C ZOLELA Nafasi ya 5.......MGC KAULI Nafasi ya 4.......COLLINS NILIKUPENDA Nafasi ya 3........DJ NASS CHAP CHAP
Nafasi ya 2.......MECKON MAUZA UZA
Nafasi ya 1.......BETA MAN SITO KATA TAMAA
anaitwa nickson sanga aka dj nass ni mtangazaji pia ni mtayarishaji wa hizi chati ambazo huluka moja kwa moja kupitia kituo cha radio cha COUNTRY FM 88.5 iringa tanzania kila siku za jumatano kwenye show iitwayo ngoma za mchana ambayo huanzia mishale ya saa saba na nusu mchana pia jamaa anafanya muziki wa hip hop kafanya truck kibao ikiwemo chap chap ambayo inafanya vizuri kwa sasa kwenye radio na tv kwa kuipata hii truck iitwayo chap chap search google andikaDJ NAS- chap chap utaipata video ya hiyo truck pia audio yake...............posted by deejay jona
No comments:
Post a Comment