mtangazaji wa 88.5 country fm pia na muandaaji wa show kibao za radio ikiwemo show iitwayo ngoma za mchana show hiyo kila siku za juma tano kunakua na segment iitwayo top ten za nyanda ya juu kusini ambapo hizo chati huusisha truck zinazofanya na watoto au wasanii waliopo au wanaofanyia kazi ya muziki na kuutengeneza mkoani apo iringa jina halisi anaitwa nickson sanga a.k.a dj nas pia anafanya vizuli kwa truck yake iitwayo chapchap,akiongea na deejay jona wa amesema kuwa amejipanga kwa kuweza kuakikisha anafanya
vizuri katika game ili aweze kuuwakilisha mkoa wa iringa katika anga la
muziki wa hip hop na kufanya wasanii wa nyumbani kuwa na hadhi kama
ilivyokuwa nyuma.Aidha dj nas amefunguka kuwa analaani baadhi ya watangazaji wanao wabania wasanii underground kwa kuto kupiga nyimbo zao amewaasa pia upcoming watoa ngoma za ukweli ili kuepuka kuto kuchezwa truck zao kwenye baadhi ya radio zilizopo mkoani iringa.....posted by deejay jona
No comments:
Post a Comment