Huu
ndio muonekano wa video mpya ya Rama Dee baada ya "Kuwa Na subira" kazi
imefanyikia Australia Gold cost,Kiwango ni kizuri cha kimataifa so kaa
sawa unajua ni ngoma gani!!??...tega macho na mackio pia nashukuru sana
kwa kuweza kuupokea vizuri mziki mzuri unaofanywa na mimi,,,pa1 sana
No comments:
Post a Comment