Thursday, October 4, 2012

NILICHOKIKUTA KWENYE FACEBOOK YA ROMA , MGOSI MKOLONI NA YA SHARO GANGSTAR NA KAGUSA ANDRE WARCHILD......posted by deejay jona

Roma Tongwe

 Me kuna k2 kinanishangazaga xana yani!! Utakuta cc ARTIST...iwe musician au actor/actress...ni kuwa una hitaji xana xapoti ya mashabiki/maraia ili utimize goalz zako!! Xaxa utakuta artist ana mringia au kumnatia shabiki wake, UNAMSALIMIA ARTIST AF HAKUITIKII ANAKAUSHA ANALETA POZI...AAF ETI BADAE STEJINI ANAKWAMBIA PIGA KELELE AU MIKONO JUU!! Axa yy ni nani kwani hadi tumtii asemacho wakati
hana lav na cc? Tena wakimaliza show utawackia MWANZA NAWAPENDA SANA...axa unampenda nani ww mbona mnafki? Ukishuka ukasalimiwa unaweka pozi!! Me waxanii kama hawa nawapigaga mitama tu mxxxiuu!! Lakini mbali na hayo, haina maana kuwa ndo umzoee shabiki kwa xana, atakucost pia...jifunze kuishi na shabiki, na mashabiki jifunzeni kuishi na waxanii wenu...lazima kuwe na distance btn, na muwe waelewa kuliishi hilo...mxanii anaweka status af hachangii comentz...dah inakera xana?me najiweka kundi la shabiki xo obviously a wl fil bad! Bt pia mafunz muelewe kukomentz zote ni ngumu,au xamtym huna muda wa kukoment muda ule bt bdae unawapitia hyo poa xo muelewe!! Ila wapo waxanii wengine mtu page yake ina miezi hajibu ki2....!!bas tuxaidiane apo jamani kuishi vzr ktk hili!!...NIXAMEHENI NA MM PALE NIKOSEAPO


.                                                          Sharo Gangastar
BARUA KWA NYINYI mnaojiita WAKALI WA MEDIA.

Kiukweli naandika nikiwa na Uchungu Kinoma
kuna Wakali mnaojiita WANAHIP HOP then nyimbo mnazoomba nizakina VUMBE na KIBERITI wakati ngoma za HIPHOP kama Swahili, Utandarymez, VVU, Zinaachwa kapuni.. Nyinyi mnaojiita wakali wa media, ingawa ninamashaka na ukali wenu,naona ni wadau tu.... MNAUA GAME kwa kupewa PESA na MABANDO sikatai mnapoomba izo nyimbo, ila nachopinga mimi ni nyinyi kujiita WANAHIPHOP... Kingine mmekuwa na MAPOZI Kinomaaa hivi unaringa kwa kusikika redion wakati hata xcul hauna lolote, huna cha maana,huna dili town unabaki kujisifia MADEMU Tu...
Wengine mkikosea,tukiwambia mmekosea mnavunga wajuaji... Radio haiko online,satelite haipatikani na then mtu bado anadai anawapata tokea Mahali flani... Dah! Kweli wadau TUNAUA MUZIKI HUU kwa kuomba NYIMBO MBOVU. Hata usipocomment au kulike UTAKUWA UJUMBE UMEUPATA
 
 
 
   
                                      Mgosi Mkoloni
TAARIFA RASMI KWA UMMA: JANA MH AMOS MAKALA,NAIBU WAZIRI UTAMADUNI NA MICHEZO AMETOA UFAFANUZI NA KUONGEA KWA KIREFU REDIONI KUWA RUGE NA MWANA Fa WALITAKIWA KUIPELEKA STUDIO ALIYOITOA RAIS OFISINI KWAKE BAADA YA KUSHINDWA KUMUONYESHA WIKI 2 ZILIZOPITA KAMA WALIVYOAHIDI...........TULILISEMA HILI KUWA WATU WAMETEKA DHAMIRA NZURI YA RAIS KWA WASANII TUKAONEKANA SISI WAJINGA NA WABINAFSI SASA IME
BAINIKA NA KILA KITU KIPO WAZI..........MH AMOS MAKALA UMMA WA WATANZANIA UPO NA WEWE KAMA ULIVYOONGEA REDIONI WAMEKUDHARAU SANA KWA KUTOFIKA OFISINI KWAKO,SIMU HAWAKUPIGA,HAWAPATIKANI HEWANI,STUDIO HAIPO,HELA YA PANGO WAMECHUKUA,T.F.U KANJANJA,MWANA Fa ALITANGAZA KUJITOA MARA TENA YUPO...................!!!!!
MAGENGE!!!......MAGENGE!!!........MAGENGE!!!.........MAGENGE!!!












Kagusa Andre Warchild


ADUI YETU TUNATAMBUA UNA NGUVU NA UNATAMBUA HATUKUPENDI..............ILA TUTAKUFA KWENYE BATTLE FRONT AU TUTAPREVAIL.........HATUWEZI SURRENDER DUNIA TULIYOTOKEA HAIEXIST TENA HATUNA CHA KUPOTEZA...........
KAGUSA HAPA! Sajo Mwakasege Man Kichefu Temmy Mahondo Robert Kisinini HAHHAHAHAA NAFKIRI ANAFAHAMIKA TEH.........posted by deejay jona

No comments: