
Jeneza lenye mwili wa Sharo Milionea likitolewa
![]() |
Shekh akiombea mwili wa jeneza leye mwili wa Sharo Milionea |

Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele

Rafiki
mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono
wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.
Mamia ya wakazi wa mkoa wa
Tanga pamoja na wasanii wa kundi la Bongo Movie leo wameshiriki
kikamilifu katika mazishi ya msanii Sharo Milione yaliyofanyika
wilayani Muheza mkoani Tanga umbali wa takribani kilometa 2 kutoka
nyumbani kwa msanii huyo huku vurugu za hapa na pale zikitokea
wakati wa kuanga mwili huo
Wakati mwili wa msanii Sharo Milionea unaelekea kuzikwa hivi sasa
zimeripotiwa vurugu kubwa kutokea wakati wa mazishi ya msanii
wakati wa shughuli ya kuaga mwili huyo.
Imedaiwa kuwa umati mkubwa wa wananchi wamepata kujitokeza kwa
wingi kuaga mwili wa msanii huyo huku baadhi wakigombea kuaga
mwili huo ..................posted by deejay jona
No comments:
Post a Comment