Tuesday, November 27, 2012

TAARIFA KUHUSU KIFO CHA MWANAMUZIKI NA MUIGIZAJI SHARO

Photo: Kwa habari zilizonifikia kupitia chanzo cha habari cha www.vunja.blogspot.com ni kwamba sharo millionear amepata ajali ya gari uko mkoani tanga na kwa update zaidi endelea kukaa na mimi kwenye huu ukurasa                                                        
     SHARO AKIWA NA KANUMBA ENZI ZA UHAI WAO                                                                                                                                                                     “jana 26,11,2012 majira ya saa mbili usiku kwenye barabara ya Segera Muheza mtu mmoja alietambulika kwa jina la Hussein Ramadhani au Sharo Milionea akiwa anaendesha gari namba T478 BVR Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza alipofika eneo hilo gari lake liliacha njia na kupinduka mara kadhaa na kusababisha kifo chake, mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali Teule ya wilaya ya Muheza”  

PICHA HAPO CHINI NI MWILI WA SHARO BAADA YA AJALI
Photo: DAIMA TUTAKUKUMBUKA SHARO MILLIONEA AKA MZEE WA UMEBUGI MEEEEN"    naombeni radhi kwa hii pic

No comments: