
DEEJAY NASS
leo nai birthday ya mtangazaji maarufu wa kituo cha radio country fm iringa anaitwa deejay nass ambae ni mstali wa mbele kusogeza muziki wa nyanda za juu kusini iringa pia richa ya dj/prisenter jamaa anafanya muziki na truck ambayo inasumbua kwa sasa inaitwa chap chap ambayo pia video yake inafanya poa............kaa tayari mwezi wa kwanza anaachia heat moja balaa
itizame video yake deejay nass chap chap
No comments:
Post a Comment