Friday, December 7, 2012

J POP FT RAMA DEE Nitaweza - VIDEO


                                 
Oudio ya hii video ya j pop producer ni amba ndani ya studi za ab records iringa.....
     lakini sasa hivi uyu jamaa yupo pande izi za dar na anaendelea kufanya productio ya muziki kama kawaida.....
pia kule mkoani iringa studio bado zipo ila kuna bwana mdogo ndiye banaye simamia ile studio iliyopo iringa..
pia kama ukihitaji kuwasiliana na amba mawasiliano yapo hapo chini.............
AMBANGILE MBWANJI
AMBA RECORDS IS READY AND GOOD TO GO,INAPATIKANA JIJINI DAR ES SALAAM MAENEO YA TABATA KIMANGA,NI STUDIO YA PRODUCER MAHIRI AMBANGILE MBWANJI TOKA IRINGA….SO TAKE YA CHANCE AND PAY HIM AVISIT FOR A HIGH QUALITY PRODUCTION IN ALL (GENRES)OF MUSIC…
CONTACT HIM ON
EMAIL:- ambajaph@yahoo.com
MOBILE:-+255 713362023............by deejay jona

No comments: