

Miaka
iliyopita, elimu yake ya mwanzo aliipata shule ya msingi Ipogolo. Shule
ya Secondari ya Lugalo pale pale town, na baada ya hapo tena akamaliza
kidato cha tano na sita pale pale Highland Sec School Iringa town,
Nasasa anamalizia elimu yake ya juu hapo Dar city, katika chuo cha
biashara CBE.
Wakati huo wote anapiga book na huku
anatambaa na Music ndiyo maana watu wake wanaweza kuniona kama ana beep
ktk game Nooooo!.siyo kihivyo wana,ni mipango tu mizuri na hili gemu la
bongo na anamshukuru Mungu amelisoma toka alipoanza mwaka 1996 akiwa na
kundi lake lililotambulika kwa jina la TOIG’Z ( THE OJAA INTERNATIONAL GANGSTAR’S) Kundi hilo liliwakillishwa na wasanii wane OBK’Z , ADDO BOY ambaye kwa sas anaimba GOSPEL, A-SMOOKER , na yeye mwenyewe J.POP , walifanikiwa kufanya track kadhaa pale Iringa town katika studio za DON BOSCO, na mafanikio ya kundi yalikuja pale walipotoa track yao kupiti studi za FM STUDIO producer akiwa ni MIIKA MWAMBA KALI, mwaka 1999,track ilikuwa inaitwa ‘’SIRI YA HATARI’na
zilifuatia track nyingine kama mbili, hazikupata mafanikio kivile kwani
hawakutambulika kitaifa zaidi,walitambulika pale mkoani pekee.
Na mambo mengine mengine yaliwakuta kama kundi walipokuwa DAR wakijaribu
kufanya harakati.Ndipo baadaye kundi likasambalatika baada ya kila
mmojawao kijitosa shuleni,wana wakapiga kimyaaaaa!...ndipo akaondoa
ukimya , sana tu watu wa Iringa wanamsoma na anawakumbusha mbali kipindi
ambacho makundi makubwa pale town kama EMERGENCE POISON, CRAZY DOGG, DOWN LOW, DANGEROUS CREW, kundi ambalo MIKE TEE alikuwapo, SQUIZER, GEEZ MABOVU zamani kama MED, B-BOY, DATAZ, ZAY ‘B’, na S.O.G kundi ambalo AY’, SNARE zamani aliitwa ADAM, pamoja na BUFF G’ zamani aliitwa GEMBE walikuwa wanaunda kundi hilo wakiwa wanasoma huko, Na makundi mengine kibao lakini hayo ndiyo anayoyakumbuka.
kulikua
na ushindani wa kufa mtu enzi hizo. Na baada ya hapo ndipo akaanza
kutoka mmoja baada ya mwingine, mpaka hivi sasa. Ndipo akajitokeza J.POP mwaka 2002 ngoma yake ya kwanza kwa marehemu ROY mungu
aiweke roho yake mahali pema peponi Amen, haikufanya vizuri ikabuma
akatoka na ngoma yake ya pili mwaka 2005 Ikaanza kusikika mwaka 2006,
Track ’TUNAKUPENDA’’(unaweza kuisikiliza ktk playlist hapo) iliyotengenezwa pale JAG RECORDS producer JONAS, na baada ya hapo mwaka 2007 mwishoni akatua kwa AMBANGIRE pale home kwao IRINGA na kushuka na ngoma yake heeeeavy ‘’NITAWEZA’’ upande wa chorus ameketi RAMA DEE ambayo mpaka sasa ndiyo iliyopo na video yake pia imetenenezwa na KALAGE
,ana sema Sorry kwa washabiki wake wamekuwa wanakerekwa na kukaa muda
mrefu kwa track baada ya track.Wasikonde mambo ya Shule kidogo wana ,
lakini HIP HOP ndivyo inavyotakiwa kwenda watu wapate muda wa kuisoma track moja na nyingine tuzipe muda nyimbo zetu. AU!!!!!
Ok
Basi hivyo hivyo! Malengo yake nikutoa track za ukweli moja baada ya
moja ambazo kila moja itakuwa na uwezo wa kujibeba kama ilivyo,
kujirekebisha kwa kila ngoma inayokuja kutokana na mawazo na michango ya
mashabiki wake, Kaeni tayari kuna ngoma itakuja hivi karibuni .
Wapo
wale waliochangia uwepo wake na angependa kuwashukuru... kwanza Mungu
wake, Wazazi wake RIP mama yake" MOM, I know ananisikia huko na wote
wanaoniona na kunisikia Pamooja sana".ALL ABOVE IS HIS SHORT STORY*****
IRINGA STAND UP’’ ukanda wa juu ISHI HIP HOP.......by deejay jona
No comments:
Post a Comment