Monday, December 10, 2012

KUTANA NA STORY ZA KWENYE FACEBOOK

 Hassan Kharim Dax P
   Hassan Kharim Dax P
                         says
UP COMING ARTIST WA IRINGA kuweni na msimamo inashangaza kuona baadhi ya wasanii wanaomba kupanda kwenye show na kuimba bure. Music pesa jiamini. Kuna show iliyofanyika juzi kati hapa iringa kuna wasanii waliimba bure. SHOW ZA BURE ZIMEPITWA NA WAKATI.

 
           Man Kichefu Tha Dramacydal
                                              says
My enemies are obsessed with me like the bitch in Misery
But break out like father running form responsibility
Every time I step and abuse the mic with versatility
I balance humility, with brutal instinct
I'll make your whole cypher look like those crackers from MPINGO FM
CHRISMASS HIII HAHAHHAHAHAHAAHAHA HATA SIAMINI JAMANI........TEAM REBIRTH IN THIS ONE

Photo: CHRISMASS HIII HAHAHHAHAHAHAAHAHA HATA SIAMINI JAMANI........TEAM REBIRTH IN THIS ONE                                                                                         
Deejay-jona Jonathan Mgendera
 Deejay-jona Jonathan Mgendera
                          says
Niaje wadogo zangu mnaofanya music pande za iringa mbona hamsomeki? Kwenyekupigia kelele suala la kufanya show wote tunakua pamoja tena nyie wenyewe ndo mnakua vimbelembele kutoa hizi taarifa za kufanyishwa show bila kulipwa sasa niaje mnaendelea kufanya show bure na mbona muziki wenu uko poa wengi wanaukubali na kutoa sapoti kwa kazi zenu sasa mbona hamtoi thamani kwa kizuri mnachokifanya na izo
show za burebure wapi zitawafikishaaa? labda ingekua ni fiesta ningesema mnautangaza music ili kuongeza mashabiki coz clouds coverage yake ni kubwa imesambaa mikoani sasa ni vipi ivii unadatishwa na icho ki ebony ambacho coverage yake ni ndogo na hakuna anaeifahamu zaidi ya mkazi wa kusini wadogo zangu badilikeni ndugu zangu la sivyo mtaishia kusema muziki wa iringa haulipi wakati nyie wenyewe hamtaki kuupa hadh!!.

No comments: