Monday, December 10, 2012

UJIO MPYA WA ROMA THE SUPER NINJA

Photo: ALICHOANDIKA ROMA KUHUSU UJIO WA NGOMA YAKE MPYA

''shughuli imeisha!!!
jumatano 12/12/2012 birth day ya ROMA!!!
siku tuliyokuwa tunaingoja kwa HAMU sana kusikia
THE RETURN OF THE NINJA!!!
narelease track yangu mpya baada ya
MATHEMATIX!!! nayo itaitwa "2030"
sijawahi kufanya ngoma kali kama hii TRUST MI!!! ni
zaidi ya zote ulizowahi kuzisikia...now naelekea
TANGA NYUMBANI KWA WAGOSI NA NITAANZIA
KUIRELEASE NYUMBANI TANGA...
.EEE MUNGU NIPE UZIMA!!!!''

No comments: