Wednesday, December 5, 2012

88.5 COUNTRY FM TOP TEN {nyanda za juu kusini iringa}


  • 10"-ANGER    PENZI KIMVULI
  • 9"-ZAKI          KALUNDE
  • 8"-MPONJORI     UJIO
  • 7"-ZINT           ZAMBI ZANGU
  • 6"-ISIACKA MC     NAFANYA HIP HOP
  • 5"-TROUBADO       KOFIA YA KIVETNAM
  • 4"-DJ NAS               CHAP CHAP
  • 3"-MEDA                  NATAMANI
  • 2"-ATU                      ZAMANI
    LONKA    MUZIKI {bonus truck}
  • 1"-MED C            ZOLELA
pia kuanzia wiki ijayo yaani j5 ijayo ntakua napiga intervew na msanii ambaye atakamata nafasi ya kwanza kwenye chati mama ya muziki wa nyanda za juu kusini iringa intervew hiyo ntaiweka hapa online..........

LINK  HAPO CHINI ISIKILIZE TRUCK YA MED C- ZOLELA ...KWA WIKI HII IMEKAMATA NAFASI YA KWANZA
Cover Photo
 I'm listening to MED C FT MAPLACE-ZOLELA.mp3 in Hulkshare:

 Nickson Sanga aka deejay nas ndo host wa show iitwayo ngoma za mchana ambayo huwa na vipengele vinavyohusisha muziki wa iringa zikiwemo top ten kila siku ya j5 muda kuanzia saba na nusu mpaka kumi kamili bila kusahau shooo ya ngoma za mchana huluka kuanzia j3 mpaka ijumaa muda uleule saba na nusu mpaka kumi kamili

            DEEJAY NASS

No comments: